Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Kura ya maoni visiwani Komoro

19/05/2009

Huko visiwani Comoro tume ya uchaguzi inasubiriwa kutoa matokeo rasmi ya uchaguzi wa kura ya maoni ya kurekebisha katiba na sheria ya nchi uliomalizika hapo jana nchini humo.

Kurekebishwa kwa sheria hiyo kunatokana na serikali ya muungano chini ya rais wake, Ahmed Abdallah Sambi, kuondoa ule mfumo uliopo hivi sasa wa kuwepo kwa marais watatu wa visiwa vya Ngazija, Nzuwani na Mwali na kuwa na bunge lao na hata mabaraza ya mawaziri wa visiwa hivyo.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©