Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Kikwete atembelea Google - Marekani

20/05/2009

Mchambuzi wa sera ya kampuni ya Google ya Marekani, bwana Jake Hubert, akielezea mtandao wa kampuni hiyo unavyofanya kazi kwa Rais Jakaya Kikwete aliyetembelea kampuni hiyo katika eneo la Silicon Valley, San Jose, California.

Chuo kikuu maarufu cha Marekani na kampuni kubwa tatu za teknolojia ya kompyuta zimekubali kuisaidia Tanzania kujenga uwezo utakaoifikisha kwenye kilele cha kuwa nchi kiongozi katika teknolojia hiyo Afrika. Chuo kikuu cha Stanford na kampuni ya Cisco, Google na IBM, wametoa msimamo huo wakati walipompokea rais Kikwete na kuzungumza naye katika ziara yake ya kikazi nchini Marekani.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©