Kikwete akaribishwa na
Obama
21/05/2009

Rais wa Marekani, Barack Obama
akimkaribisha rais Jakaya Mrisho Kikwete katika ofisi ya Ikulu ya
Marekani (Oval Office) katika mkutano wa uhusiano kati ya nchi mbili
ambao ulihudhuriwa na wahusika mbalimbali wa ngazi ya juu.

Rais Kikwete, rais Obama na Mheshimiwa
Hillary Clinton wakiwa katika mkutano wa pamoja ambao umefanyika Ikulu
ya Marekani katika chumba maarufu cha rais (The Oval Office), Washington
D.C.
|