Operesheni maalum ya
ukaguzi wa wizi wa magari
23/05/2009

Askari wa usalama barabarani
wakishirikiana na polisi wa kimataifa (Interpol) wakikagua magari eneo
la Karume, Ilala, jijini Dar es Salaam wakiitika mwito maalum wa
operesheni ya kukamata magari ya kifahari yaliyosadikiwa kuwa yameibiwa
nchini Japan.
Tangu zoezi hili lianze, takriban magari
ya kifahari 24 yameshakamatwa ambayo yanasadikiwa yameibiwa nchini
Japan.
|