Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Sherehe za umoja wa Afrika - Abu Dhabi, UAE

26/05/2009

Pichani juu na chini Balozi wa Tanzania Mhe. Mohamed Maharage Juma akimkaribisha Mgeni rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje katika banda la Tanzania na kumpatia vijarida juu ya fursa za uwekezaji Tanzania na zawadi za bidhaa za Kitanzania ikiwemo asali, chai na kahawa.

Kivutio kikubwa kilikuwa picha kubwa ya mlima Kilimanjaro ambapo wengi walipata somo kwamba upo Tanzania na si kwingine popote.

Tarehe 25 Mei 2009 Balozi za Kiafrika zilizopo Abu Dhabi, UAE (Umoja wa Falme za Kiarabu) ziliadhimisha siku ya Umoja wa Afrika kwa semina juu ya fursa za uwekezaji barani Afrika, maonyesho ya utamaduni na utalii wa nchi za bara letu. Ubalozi wetu nchini humo ulishiriki vilivyo na wenzao.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©