Karume azindua mradi wa
umwagiliaji maji BUMBWISUDI
27/05/2009

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa
mradi wa ukarabati wa miundo mbinu ya kilimo cha umwagiliaji maji
mabonde ya Kibokwa na Bumbwisudi, mradi huo umefadhiliwa na Serikali ya
Korea (wa tatu kulia) Balozi wa Korea nchini Tanzania, Young-Jun Kim.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume, na Balozi wa Korea nchini Tanzania,
Young-Jun Kim, kwa pamoja wakifungua pazia ikiwa ni ishara ya uzinduzi
wa mradi wa ukarabati wa miundo mbinu ya kilimo cha umwagiliaji maji
mabonde ya Kibokwa na Bumbwisudi kwa ufadhili wa Serikali ya Korea.
|