Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Afisa Feki wa TRA abambwa Dar es Salaam

28/05/2009

Mnamo saa sita za mchana askari kanzu wa jiji la Dar es Salaam walimkamata jamaa ambaye hujifanya Ofisa wa TRA katikati ya jiji la Dar; Afisa feki huyo akionekana kushika kichwa pichani akijikinga na kipigo cha wenye usongo na mali zao huku askari kanzu akijaribu kuzuia watu wasimkaribie ili afikishwe sheriani kwa usalama.

Hapa akionekana kashikwa na askari kanzu kuelekea garini la askari hao huku akishikwa mshiko wa unaojulikana aina ya "No Smoking".

Afisa feki wa TRA akifikishwa ndani ya gari kwa usalama na askari kanzu wa jiji la Dar es Salaam; Heko askari kanzu wetu.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©