Mbio za mwenge wa Uhuru
zaanzia Mwanza
30/05/2009

Makamu wa rais Dk. Mohamed
Ali Shein akiwasha Mwenge wa Uhuru ambao unaanza mbio zake uwanja wa
Kirumba Mwanza. Kulia mwa makamu wa rais, Profesa Juma Kapuya, Waziri wa
Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana.
|