![]() |
|
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Rais Kikwete azungumza na CNN01/06/2009
Rais wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete azungumza na Jill Dougherty wa CNN alipokuwa katika ziara yake ya kikazi nchini Marekani. Kikwete alizungumzia juu ya maisha yake kwa ufupi, mtazamo wake kwa Afrika na nchi yake Tanzania akiwa kama ni rais wa nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Habari kamili bonyeza kwenye kiuongo hapo chini kuangalia Video ya mahojiano hayo na kumbuka kufungulia spika za kompyuta yako.
http://edition.cnn.com/video/#/video/international/2009/05/29/av.1.jakaya.kikwete.cnn
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||