Msaada wa tende kutoka
Saudi Arabia
03/06/2009

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,
Dk. Hussein Mwinyi akipokea sehemu ya msaada wa tani 125 za tende kutoka
kwa mwakilishi wa Wizara ya Fedha ya Saudi Arabia, Sultan Hamad Al
Fuhaid, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Balozi wa Saudi Arabia nchini
Tanzania, Ali Al Jarbu.
|