Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Mpango wa kuhifadhi Faru wa Tanzania

04/06/2009

Faru akishushwa katika ndege akitokea Jamuhuri ya Czeck ikiwa ni sehemu ya mpango maalum wa serikali kuwarejesha nchini Faru ambao walikuwa wametoweka kinyume na sheria. Faru huyo ni mmoja kati ya watatu toka Jamhuri ya Czech ambao walirejeshwa juzi baada ya serikali kuwaomba kutokana na kuimarishwa ulinzi ndani ya hifadhi.

Faru hao watahifadhiwa katika kituo maalum cha mfuko wa hisani wa kulinda wanyama pori (WPTF) kilichopo ndani ya hifadhi ya Mkomazi kwa muda wa miezi miwili kuzowea hali ya hewa ya Tanzania na baadaye kuachiwa kuishi ndani ya hifadhi hiyo.

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©