Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Mhanga wa mwisho wa meli ya TITANIC afariki

05/06/2009

MILLVINA DEAN 1912 - 2009

Millvina Dean afariki dunia akiwa na umri wa miaka 97, ni mmoja wa waliookoka na ndiye mhanga wa mwisho katika wahanga waliosalimika katika ajali ya meli ya Titanic iliyotokea tarehe 15 April 1912.

Millvina alikuwa na umri wa wiki tisa tu wakati ajali hiyo ilipotokea baada ya kupiga mwamba wa barafu katika bahari ya Atlantic ilipokuwa ikitokea Southampton, UK, kuelekea New York, USA, na kusababisha watu 1,517 kufariki hapo hapo kutokana na sababu moja wapo ya ukosefu wa majahazi ya kuokolea abiria.

Millvina amefariki katika nyumba aliyokuwa akiangaliwa utu uzimani huko mjini Hampshire, England, akiwa na umri wa miaka 97.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©