MV Magogoni yazinduliwa
rasmi
08/06/2009

Rais Jakaya Kikwete, akiwapungia mkono
wananchi mara baada ya kuzindua rasmi kivuko cha MV Magogoni ambacho
kitapunguza udhia wa usafiri wa feri jijini Dar s Salaam. Kivuko hicho
kina uwezo wa kubeba watu 2000 na magari yapatayo 60 kwa mara moja
kimegharimu TSh. bilioni 8.
|