Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Karume azindua mashine mpya za Kiafya

10/06/2009

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Amani Abeid Karume (katikati) Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha, wakipata maelezo kutoka kwa Mtaalam Mzalendo Dk. Khamis Abdul-Rahman kuhusu Mashine ya kisasa, CT-Scan, inayochunguza matatizo mabli mbali ya Binadamu katika Hospitali kuu ya Mnazi Mmoja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume (wa pili kushoto), pamoja na Viongozi wengine wakiangalia matokea ya vipimo na picha,baada ya kuchunguza mgonjwa kwa kutumia mashine ya CT-Scan ambayo huchunguza magonjwa mbali mbali katika mwili wa Binadamu katika hopitali Kuu ya Mnazi Mmoja, mara baada ya kuzindua mashine hiyo ya CT-SCAN na XRAY.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©