Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Vodacom yamwaga misaada MAFIA

14/06/2009

Meneja Uhusiano wa Vodacom Foundation, Yessaya Mwakifulefule (kulia) akikabidhi kemikali (ambazo zimehifadhiwa kiufundi) kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kitomondo, kwa ajili ya kusaidia mafunzo kwa njia ya vitendo katika maabara ya shule hiyo, wilayani Mafia.

Meneja Uhusiano wa Vodacom Foundation, Yessaya Mwakifulefule (kushoto) akikabidhi mabati kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Lewis Kalinjuna kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa shule ya sekondari Kitomondo, wilayani Mafia.

Meneja Uhusiano wa Vodacom Foundation, Yessaya Mwakifulefule (kushoto) akikabidhi mifuko ya saruji kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Lewis Kalinjuna kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara ya shule ya Kitomondo.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©