Uwanja wa Amani wafanyiwa
ukarabati - Zanzibar
18/06/2009

uwanja wa Amaan Stadium,
Zanzibar kama unavyoonekana tokea angani hivi sasa wakati unafanyiwa
ukarabati wa nguvu, ikiwa ni pamoja na kuwekwa nyasi bandia kama uwanja
wa taifa wa zamani mjini Dar es Salaam au kwa jina lingine 'shamba la
bibi'.
|