Kikwete afungua mkutano wa
Kilimo Kwanza
19/06/2009

JK na
Rais wa Zanzibar Amani abeid Karume wakiangalia mbegu katika maonesho
yaliyofanyika nje ya ukumbi wa Hoteli ya Kunduchi Beach muda mfupi baada
ya kufungua mkutano wa kilimo jijini Dar es Salaam.

JK na
Rais wa Zanzibar Amani Karume wakipata maelezo kuhusu utafiti wa zao la
Muhogo kutoka kwa Mtaalamu wa kilimo Kutoka kurugenzi ya utafiti na
maendelo kwenye Wizara ya kilimo na Maendeleo ya chakula, Dr. Geoffey
Mkamilo (kushoto) baada ya kufungua Mkutano wa Kilimo Kwanza kwenye
hoteli ya kitalii ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.
|