Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Sherehe za kuzaliwa Queen Elizabeth II - Dar es Salaam

28/06/2009

Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Bibi Diane Corner akiongea kwenye kilele cha maadhimisho ya umbukumbu ya siku ya kuzaliwa Malkia Elizabeth II (wa pili) wa Uingereza nyumbani kwa balozi Mtaa wa Kenyatta Anevue, jijini Dar es Salaam.

Mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo ni rais mstaafu awamu ya pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi, akiongea na Balozi Corner.

Wageni mbalimbali mashuhuri walihudhuria sherehe hizo, akiwemo Mama Anna Mkapa na Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini.

Balozi Mzee Paul Rupia akiwa na waalikwa wengine kwenye hafla hiyo.

Waalikwa wengine mbalimbali ambao walihudhuria kwenye hafla hiyo.

Balozi Corner akipozi na baadhi ya wageni waalikwa.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©