Maziko ya Sheikh Suleiman
Gorogosi - Lindi
30/06/2009

Ndugu, jamaa na marafiki wamehudhuria
kumzika aliyekuwa kaimu mufti mkuu, hayati Sheikh Suleiman Gorogosi huko
Lindi, Tanzania.

Makamu wa Rais Dk. Mohamed Shein akiweka
udongo kufukia kaburi wakati wa mazishi ya kaimu mufti mkuu Hayati
Sheikh Suleiman Gorogosi huko Lindi.
|