Hitma ya waliokufa kwenye
meli ya MV Fatih
01/07/2009

Wazee, ndugu na jamaa wakisoma hitma ya
kuwaombea abiria waliokufa katika meli ya MV Fatih baada ya meli hiyo
kuzama katika bandari ya Malindi. Hitma hiyo ilifanyika katika Msikiti
wa Ijumaa wa Malindi mjini Zanzibar kwa Kisomo hicho kiliandaliwa na
uongozi wa kampuni ya Fatih Express ya mjini Zanzibar.
|