Maziko ya profesa Haroub
Othman - Zanzibar
02/07/2009

Mwili wa marehemu profesa Haroub Othman
ukipelekwa msikitini
wakati wa swala ya maiti
katka msikiti wa Masjid Salama eneo la Msufini na baadaye msafara wa
kwenda mazikoni shambani kwake Chuini. Hakika alikuwa mtu wa watu kwani
mazishi yake yameelezwa yalikuwa ni makubwa hayakupata kutokea visiwani
kwa muda mrefu.

Mitaa yote iliyozunguka
hapo ilifurika waombolezaji wakati jeneza lilipokuwa likipitishwa.

Mistari ya waombolezaji
waliojipanga barabarani kusubiri jeneza ilitanda kila mahali.

Viongozi wa serikali
walikuwepo kumsomea marehemu.

Viongozi wa serikali
walikuwepo kumsomea marehemu.

Watu walijaa katika msikiti wa Masjid
Salama uliopo Zanzibar katika kumsomea marehemu.

Nafasi ya ndani ilikuwa
haitoshi kiasi kwamba waombolezaji wengine walilazimika kuswalia nje ya
msikiti.
|