Mkutano wa 13 wa AU
wafanyika Libya
04/07/2009

Rais Jakaya Kikwete akimsikiliza kwa
makini Rais wa South Africa, Jacob Zuma Kwenye Mkutano wa 13 wa wa Umoja
wa Afrika (AU) uliofanyika katika mji wa Sirte nchini Libya.

Mke wa Rais, mama Salma Kikwete (katikati)
akiwa na wake wa viongozi wa Afrika katika mkutano wa 13 wa Wakuu wa
Nchi za Umoja wa Afrika (AU) huko Sirte, Liyba.
|