Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Maendeleo ya barabara ya Mandela - Dar es salaam

10/07/2009

Ujenzi wa barabara ya Mandela ukiendelea jijini Dar es Salaam kama inavyoonekana pichani.

Kutokana na ujenzi na ukarabati mkubwa wa barabara hiyo kumekuwepo na foleni kubwa ya magari kila wakati hali ambayo imekuwa ikileta usumbufu wa hapa na pale, pamoja na yote hayo barabara hii ikikamilika nadhani tatizo la foleni hizo litapungua kwa asilimia kubwa.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©