Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Mara ya kwanza Tanzania harusi juu ya Ngamia

11/07/2009

Inasemekana haijawahi kutokea harusi ya namna hii Tanzania bibi kumvuta bwana juu ya ngamia wakielekea au wakitoka kufunga ndoa.

Irene Uwoya akijulikana kama ni mwigizaji maarufu wa filamu za Tanzania (mwenye gauni jeupe pichani) akimvuta mumewe ambaye yupo juu ya ngamia katika siku ya harusi yake. Inasemekana kuwa haijawahi kutokea staili ya namna hii nchini na kwa hivyo kajiwekea historia.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©