Mwai Kibaki azuru Tanzania
13/07/2009

Rais wa Kenya Mwai Kibaki akikagua gwaride
la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake na Jeshi la Wananchi Tanzania
mara tu alipotua uwanja wa ndege wa Tanzania.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na
Rais Mwai Kibaki wa Kenya mara baada ya kufanya mazungumzo naye ikulku
jijini Dar es Salaam mchana. Rais Kibaki amezuru nchini kwa ziara ya
kikazi ya siku mbili.
|