Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Shoo za mbwembwe za nguvu ya mota

14/07/2009

Mwendesha piki piki akiwa amenaswa hewani kwenye mashindano ya mbwembwe za nguvu ya mota yanayofanyika kila siku ya jumapili katika viwanja vya Tanganyika Packers (kiwanda cha matayarisho ya nyama 'beef' cha zamani) Dar es Salaam.

Fundi mwingine akionesha mbwembwe na gari yake kwa watazamaji waliohudhuria kwenye mashindano ya kutoana jasho ya mbwembwe za piki piki na magari yanayofanyika kila siku ya jumapili katika viwanja vya Tanganyika Packers, Dar es Salaam.

Baadhi ya watu waliohudhuria katika mashindano hayo katika viwanja vya Tanganyika Packers.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©