Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Mtambo wa gesi wazinduliwa Dar es Salaam

15/07/2009

Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja (wa pili kulia) akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa mtambo wa kushindilia gesi asilia uliofanyika Ubungo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo Ethur Mwakapugi na kushoto kwa waziri ni Meneja Mkuu wa PanAfrican Energy (T) Ltd., Pierre Raillard.

Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja akiweka gesi katika gari wakati wa uzinduzi wa mtambo wa kushindilia gesi asilia uliofanyika Ubungo jijini Dar es Salaam. Aliyesimama nyuma ya waziri ni Meneja Mkuu wa PanAfrican Energy (T) Ltd Pierre Raillard.

Mfanyakazi wa PanAfrican Energy (T) LTD akimuonyesha Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja (kushoto) jinsi ya kuweka gesi katika gari maalum wakati wa uzinduzi wa mtambo wa kushindilia gesi asilia uliofanyika Ubungo jijini Dar es Salaam.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©