Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Ubalozi mpya wa Kenya nchini Tanzania

18/07/2009

Jengo jipya la ubalozi wa Kenya nchini Tanzania (a.k.a Harambee Plaza) lililopo kwenye makutano ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi road na Kaunda drive, Dar es Salaam.

Rais JK akiwa na mgeni wake Rais wa Kenya Mh. Mwai Kibaki na mawaziri wao wakipozi na wafanyakazi wa ubalozi wa Kenya nchini baada ya Mh. Mwai Kibaki kuuzindua ubalozi huo.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©