Ubalozi mpya wa Tanzania
nchini Kenya
19/07/2009

Taswira
ya mchoro unaoonesha jinsi jengo la ubalozi wetu jijini Nairobi kwa
watani wa jadi (Kenya) utavyokuwa baada ya kukamilika.
Kwa
mujibu wa wahusika jengo hilo litakuwa linatumika kama ubalozi, kitega
uchumi na pia kutakuwa na kituo cha biashara na uwekezaji.
|