Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Muonekano mpya wa Taxi za Dar es Salaam

20/07/2009

Hivi ndivyo teksi za Dar es Salaam zinavyoonekana hivi sasa ambapo kila wilaya ina rangi yake. Wilaya ya Ilala ni kijani, Kinondoni ni njano na Temeke buluu. Hii ni katika kurahisisha utambuzi wa magari ya Taxi jijini na kuwa na mpango maalum katika usafiri.

Picha hii imepigwa kona ya mtaa wa Mkwepu na Samora Avenue zamani maarufu kama Salamander ambayo jengo lake limeshapigwa nyundo kwa kunyanyua uyoga mpya.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©