Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Dk. Asha Rose Migiro azindua shule kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano

22/07/2009

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dk. Asha-Rose Migiro akifurahia baada ya kuzindua rasmi Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano (School of Journalism and Mass Communication) leo jijini Dar es Salaam.

Naibu Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Dk. Asha-Rose Migiro akitoa hotuba katika uzinduzi rasmi wa Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano (School of Journalism and Mass Communication) mchana huu chuoni hapo Mikocheni Dar es Salaam.

Matangazo ya moja kwa moja na Mlimani TV ambapo pia Mlimani Radio FM na The Hill Observer vimezinduliwa pamoja na chuo hicho.

Mhadhiri Ayoub Riob (shoto) wakiwa na wakuu wa chuo hicho waliopita katika hafla hiyo. Kutoka kulia ni Mzee Samwillu Mwafisi, Gervas Moshiro na Profesa Mwajabu Possi.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©