Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Karume azindua ndege mpya ya Precision Air "Zanzibar"

25/07/2009

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume, akijaribu ndege mpya ya shirika la ndege la Precision Air aina ya ATR 72 iliyotengenezwa nchini Ufaransa ikiwa na uwezo wa kuchukua Abiria 70. Ndge hiyo imepewa jina la Zanzibar katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©