Dk. Mohamed Ali Shein
aozesha
26/07/2009

Makamu
wa Rais Dk. Mohamed Ali Shein akimshika mkono Abdallah Hassan Mitawi
katika kumuozesha bintiye, Mwanaharusi Mohamed Shein, kwenye msikiti wa
Al-Ibrahim Mombasa huko Zanzibar. Kulia kwa Dk Shein ni JK na Rais wa
Zanzibar Mh. Amani Abeid Karume na mbele kulia ni Sheikh Thabit Noman
Jongo aliyesimamia shughuli hiyo.
Hassan
anafanya kazi TVZ na bi Mwanaharusi ni afisa mawasiliano Benki ya Watu
wa Zanzibar.
|