Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Idadi ya Watalii yaongezeka Tanzania

27/07/2009

PAMOJA na mtikisiko wa uchumi unaoendelea duniani, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Ladislaus Komba amesema, tathmini ya awali ya biashara ya utalii nchini inaonyesha kuwa idadi ya watalii inaongezeka hapa nchini kama ilivyopangwa.

Dk. Komba alisema, hali hiyo inaweza kuendelea kuwa nzuri ikiwa huduma na miundombinu katika maeneo ya utalii itaboreshwa na kutoa unafuu kwa watalii.

Alisema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. Alisema tathmini inaonyesha kuwa idadi ya watalii inazidi kuongezeka na kwamba kinachotakiwa kufanywa na serikali kwa sasa, ni kuondoa baadhi ya kasoro za huduma kwenye sekta hiyo.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©