NEWS
29/07/2009
Vikosi vya Zima Moto vya Bandari wakipambana na moto kwenye meli ya mizigo ya Mv Pemba iliyokuwa ikiungua hapo bandarini. Meli hiyo ya MV Pemba inasemekana ilibeba vyakula, mafuta na vitu vingine.
Go up
Quick Links
Watch Television News Archive