Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Forodhani yafunguliwa upya Zanzibar

01/08/2009

Chemchem ya Sultan Khalifa wa Zanzibar katika bustani Forodhani ikionekana ikichemua maji baada ya bustani hiyo kufunguliwa rasmi kwa wakazi na watalii kuanza kuitembelea kama kawaida yake.

Picha hii na ya hapo chini imechukuliwa siku moja kabla ya bustani ya forodhani kufunguliwa rasmi baada ya kufanyiwa ukarabati wa nguvu.

Hatimaye mabati yaliyozungushiwa yamedondoshwa na Forodhani sasa inapendeza tena kama ilivyokuwa wakati wa upya wake wa mwanzo.

Ukarabati huu umefanyika kutokana na mradi maalum wa kufufua nyumba na sehemu maalum zenye utamaduni wa Zanzibar kutokana na mchango wa Aga Khan Trust for Culture.

Rejea katika habari zilizopita za Zenjydar kwa kubonyeza hapa.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©