Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Duka la Gesi laripuka Kigamboni

06/08/2009

Mwenye duka la gesi pichani kulia akipiga taswira ya banda la kuuzia gesi Kigamboni lililowaka moto na kutokea milipuko mikubwa. Mtu mmoja amejeruhiwa na nyumba kama tano hivi zimeharibika kutokana na mripuko huo ulioleta fadhaa kwa wakazi wa kigamboni na katikati ya jiji ambako milio ilisikika kama mabomu. Vinginevyo, hakuna aliyefariki katika ajali hiyo.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©