Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Akamatwa na madawa ya kulevya

09/08/2009

Mkuu wa kitengo cha kudhibiti dawa za kulevya nchini Tanzania, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Godfrey Nzowa akionesha kifurushi cha dawa za kulevya aina ya Heroin zenye uzito wa kilo 3, kwa waandishi wa habari baada ya kukamata madawa hayo kwa aliyebainika kuwa ni raia wa Kenya, Rebeka Wairimu, katika kituo kikuu cha Mabasi, Ubungo, Dar es Salaam, kwa nia ya kupeleka madawa hayo.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©