Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Harusi ya Dk. Ali Salim

11/08/2009

Katibu mkuu mstaafu wa umoja wa Afrika Dr. Salim Ahmed Salim (kushoto) pamoja na Mkewe Amne Salim (kulia) na Dr. Ali Salim Pamoja na mkewe Karly Salim wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijinji Dar es Salaam. Rais JK (katikati) alikuwa ni mmoja wa wageni rasmi waalikwa.

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Shariff Hamad pamoja na Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Abdulrahman Kinana na rais JK wakati wa sherehe ya harusi ya Dr. Ali Salim Ahmed Salim mtoto wa Katibu mkuu wa mstaafu wa Umoja wa Afrika Dr. Salim Ahmed Salim iliyofanyika katika uklumbi wa Diamond Jubilee Hall jijini Dar es Salaam.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©