Alhajj Mwinyi kusaidia
ujenzi wa Hospitali
12/08/2009

Rais Mstaafu, Alhajj Ali
Hassan Mwinyi akipanga baadhi ya pesa zilizochangwa katika matembezi ya
hisani ya kuchangia upanuzi wa kituo cha afya cha Edward Michaul, Sinza
jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mhashamu Methodius Kilaini, Askofu
Msaidizi wa Jimbo kuu la Kanisa Katoliki la Dar es Salaam.
|