Mkurugenzi wa WHO ziarani
Tanzania
17/08/2009

Mkurugenzi mkuu wa Shirika
la Afya Duniani (WHO) Dk. Margaret Chan akimsalimia Bi. Eliza Marius na
mtoto wake Pius Marius katika wodi ya watoto katika kituo cha Afya cha
Ifakara, wilayani Bagamoyo.

Mkuu wa kituo cha Afya cha
Ifakara kilichopo wilayani Bagamoyo Dk. Salim Ahmed akitoa maelezo kwa
ugeni kutoka WHO kuhusu huduma zinazotolewa na kituo hicho leo wilayani
Bagamoyo.
|