Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Mwanafunzi mkongwe duniani afariki dunia

18/08/2009

Mwanafunzi mkongwe kuliko wote aliyekuwa akihudhuria masomo ya elimu ya msingi, mzee Kimani Maruge (pichani mbele) amefariki dunia. Kimani alikuwa akisoma katika shule ya msingi ya Kapkenduiywa iliyopo Magharibi mwa Nairobi, Kenya.

Mzee Kimani amefariki akiwa na umri wa miaka 90.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©