Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

HARUSI siku kabla ya mwezi mtukufu wa Ramadhan

21/08/2009

Siku moja kabla ya mwezi mtukufu wa Ramadhan 1430H (2009), Bwana harusi aliyeshika kidevu akitafakari gia anazoingilia kwa wakwe zake kuja kupata mwenza wa kwenda kukaa naye maishani na kufungua maisha mapya katika siku ya mwanzo ya kufunga na kufutari na kufanya mema ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

Wapambe wa Bwana harusi wakionekana wakiongoza karavani hiyo na kwa mbali Bwana harusi anakuja kumchukua mwenza wake kwa wakwe.

Karavani likiwa limeshika mwendo wa kasi mara baada ya Bwana harusi kumchukua mwenza wake na kumpakia kwenye limo na huku Bwana harusi akihimiza haraka wafike nyumbani kupata kupumzika na kikiri kakara za harusi.

Karavani linamwaga vumbi tayari Bwana harusi na Bi harusi kwenda kuanza maisha mapya ya Bibi na Bwana. Tunawatakia maisha mema ya kheri na salama, barka na furaha. Amen.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©