Mwezi wa Ramadhan -
Markiti Zanzibar
22/08/2009

Mwezi mtukufu wa Ramadhan wa mwaka 1430H
(2009) umewadia na Waislamu duniani kote wameupokea kwa mikono miwili.
Pichani juu na chini, zinaonyesha harakati za mwezi mtukufu wa Ramadhan
ulivyopokelewa katika masoko makuu makubwa ya Zanzibar na wakazi wa
Zanzibar kujiandaa na barka na neema za mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Pichani ni mandhari ya soko kuu la Mwanakwerekwe, Zanzibar.

Mazao mbalimbali yanapatikana katika
masoko yakiwamo Maboga...

Ndizi mbichi, ndizi Mbivu...

Majimbi (fungu Tsh. 2,000)...

Tende.

Wafanyakazi wa baraza la Manispaa Zanzibar
wakidai kodi ya kupaki gari darajani. Kodi ya Kupaki gari moja ni Tsh.
500.
|