Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Bajaj yapata ajali

25/08/2009

Ajali imetokea leo maeneo ya makumbusho Millenium Tower muda wa saa saba na nusu hivi mchana baada ya kibajaji hicho kugongwa na dala dala ya Mwenge-Posta na kukimbia, Kibajaji hiki kilijaribu kukimbia barabara ya pili bila mafanikio na kujikuta kikidumbukia moja kwa moja. Hakuna aliyedhurika.

Dereva wa Kibajaji wa pili kulia akihojiwa na Polisi wa usalama barabarani.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©