Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Vodacom yazindua misaada ya mwezi wa Ramadhan

26/08/2009

Mama Salma kikwete akiwasili kwenye eneo la tukio mjini Bagamoyo tayari kuzindua kampeni ya Vodacom Foundation ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ambapo pamoja na kufuturisha sehemu mbalimbali nchini misaada kibao hutolewa.

Mama Salma Kikwete akiwakabidhi vyakula watoto yatima ambao wanaishi katika mazingira magumu. Msaada huo ulitolewa na Vodacom Foundation katika kampeni yao ya mwezi mtukufu wa Ramadhan. Kulia kwa bi Salma, Mkuu wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba, kushoto kwa bi Salma, Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare, wilayani Bagamoyo.

Baadhi ya wanafunzi wa Madrasa wakiwa katika hafla hiyo.

Mama Salma Kikwete akimkabidhi vifaa vya charahani Mwenyekiti wa kikundi cha kina mama wanaolea watoto yatima Bi. Muridhia Bakari. Msaada huo ulitolewa na Vodacom Foundation katika kampeni yao ya mwezi mtukufu wa Ramadhan.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©