Rais afuturisha Ikulu Dar
es Salaam
29/08/2009

Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akipeana mikono na Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki wa jimbo Kuu la
Dar es salaam Methodius Kilaini ambaye alishiriki katika futari
iliyoandaliwa na rais, Ikulu jijini Dar es Salaam ambayo imehudhuriwa na
waalikwa wa kutoka sehemu mbalimbali.
|