Dar es Salaam Zoo
31/08/2009

Dar es Salaam Zoo imekuwa ni kivutio
kikubwa kwa watalii wanaofika Dar es Salaam na wakazi wa Dar es Salaam
kwa ujumla. Sehemu hiyo ya hifadhi na ya maonyesho ya wanyama wa mbuga
ipo Kigamboni maeneo ya Kibada.

Kutoka Dar es Salaam mjini
mpaka Dar es Salaam Zoo ni umbali wa Kilomita 37 kupitia Kilwa road -
Kongowe - Mji mwema - Kibada, halafu Kilomita 9 njia ya Moram road mpaka
kufikia Dar es Salaam Zoo; na Kilomita 23 kupitia kivukoni.

Pichani Kaka Michuzi akiwa
ndani ya Dar es Salaam Zoo akipata undani wake.

Dar es Salaam Zoo ina ndege
na wanyama aina mbalimbali wakiwamo Secretary birds.

Mchanganyiko wa Mabata.

Maelekezo ya kutosha.

Kwa lugha ya Kiswahili na
Kizungu.

Fisi.

Simba.

Chui.

Nungu.

Mjusi wa mto Nile.

Chatu.

Mamba.

Pundamilia na Nyumbu.

Mbuzi na Kondoo.

Ngamia.

Ng'ombe na Nyati.

Bata.

Wote wakiangaliwa kwa ulinzi
mkali uliowekwa hapo Dar es Salaam Zoo.
|