Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Rubani wa kwanza wa kike JWTZ

03/09/2009

Rubani wa kwanza wa kike Tanzania kwa ndege za kivita za Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Luteni Rose Katila ni mmoja wa marubani waliofanya mambo makubwa sana katika maonyesho ya miaka 45 ya Jeshi la Wananchi Tanzania yaliyomalizika jijini Dar es Salaam ya mwaka huu 2009.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©