Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Ramadhan Qur'an Contest 1430AH (2009)

05/09/2009

Pichani juu, Salum Omar, ni mmoja wa walioshindana katika mashindano ya kila mwaka ya Qur'an katika mwezi mtukufu wa Ramadhan katika jitihada za kuwahimiza watoto kuhifadhi Qur'an. Mashindano ya mwaka huu yamefanikiwa kwa mwaka wa tatu na watoto wameingia katika mashindano kikamilifu.

Mwenyekiti wa Salama Trust bwana Saleh Jaber amemshukuru Mwenyezi Mungu, Allah (S.W.), na amewashukuru wote ambao wamechangia kwa njia moja au nyingine katika kufanikisha jambo hili mwaka huu na alisisitiza jamii kujihusisha katika mchango wa maendeleo ya masomo ya Qur'an kwa watoto wa Kiislam.

Kwa picha na maelezo ya washindi na walioshiriki katika mashindano ya Qur'an ya mwaka mwaka huu bonyeza hapa.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©